Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

EXCLUSIVE: MATUKIO MBALI MBALI YA CHADEMA TANGU KUANZA KAMPENI ZA UDIWANI KALENGA HADI LEO

Mgombea kupokelewa Lumuli

Mgombea akipokelewa Lumuli

Heche akihutubia Lumuli;

Meneja wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo, akimwelezea mtoto Zakina Miwela, anayesoma darasa la pili katika Shule ya Msingi Lumuli, ambaye ni mtoto wa kiongozi wa CCM wa kijiji hicho, anavyoonekana bila viatu na sare zake kuchanika, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo jana.

Meneja wa Kampeni za mgombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo na mgombea, GraceTendega, wakizungumza na akinamama wa kijiji cha Lumuli, katika kikao maalumu baada ya mkutano wa kampeni, zilizofanyika kijijini hapo jana.

*****************************************************

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrfod Slaa akiwahutubia wananchi  wa kijiji cha Kiwele katika mkutano wa kampeni wa uchaguzo mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa juzi.

Mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Tendega, akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kiwele katika mkutano wa kampeni juzi. 

Mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Tendega akisalimiana na mmoja wa wazee wa kijiji cha Kiwele, baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo juzi.

Wananchi wa kijiji cha Kiwele wakiitikia moja ya salama za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakati wa mkutano wa kampeni za chama hicho za uchaguzo mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani Iringa juzi.

Mh Lwakatare akiongea na Wananchi jimboni Kalenga

Mgombea ubunge Kalenga Grace Mvanda akipungia mikono wakazi wa Kalenga

Kamanda Mawazo Jimboni Kalenga

********************************************************************

Kamanda Mawazo akiwa na makamanda wa Magulilwa wakiimba na kucheza kabla ya mkutano wa kampeni

Katibu Mkuu akifurahia jambo na mtoto mdogo wa Kijiji cha Magulilwa baada ya mkutano wa Magulilwa

Mgombea Grace Tendega akisalimiana na wakazi Kijiji cha Magulilwa baada ya mkutano wa kampeni

Mgombea akisalimiana na wananchi wa Magulilwa

Igumla, Kata ya Luhota, mgombea akisalimiana na wanafunzi

*****************************************************

IMG-20140226-WA0088

IMG-20140226-WA0086

********************************************************************

IMG-20140227-WA0025

IMG-20140227-WA0026

IMG-20140228-WA0025Basi linalodhaniwa kubeba wafuasi wa CCM kutoka maeno mengine ya Jimbo kwenda Mkutanoni likipichana na gari la Chadema

*******************************************

Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA jimbo la Kalenga

Msafara ukielekea eneo la uzinduzi

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO