Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Vijana wa Bodaboda Dar es Salaam Waandamana Hadi Makao Makuu ya Chadema Kinondoni Kumuona Dr SLaa Awasaidie

10004029_730413860331504_800487309_nVijana waaendesha pikipiki- bodaboda na pikipiki za matairi matatu maarufu kama bajaji  wameandamana kwa wingi hadi Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo mchana, kwa lengo la kuuomba uongozi wa CHADEMA kuwatetea dhidi ya unyanyasaji wa serikali na vyombo vyake katika shughuli zao za kila siku.

Hii inafuatia kupigwa marufuku kufanya biashara yao maeneo ya kati kati ya mji mapema wiki hii. Pichani gari ya Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa ikiwasili ofisini hapo, Dr Slaa akiwemo ndani.

1094998_730414056998151_1327814138_nDr Slaa akiteremeka garini huku ulinzi ukiwa umeimarishwa na vijana hao wakishangilia sana.

1976935_730414226998134_2021458289_n (1)

1069874_730413930331497_132628502_n

1383179_730413413664882_1770621644_n

Picha zote na Jackson Wilson Makalla

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO