Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Diwani Nanyaro Asaidia Unga na Sukari Kwa Uji Wa Wanafunzi Levolosi

Nanyaro asaidia uji

Nanyaro asaidia uji 1

IMG-20140304-WA0019

Diwani wa Kata ya Levolosi, Ephata Nanyaro (CHADEMA) ametoa msaada wa unga, mahindi na sukari kwa shule ya Msingi Levolosi iliyoko katika Kata yake  ili kuwawezesha watoto wapatao 1026 kupata uji nyakati za mchana baada ya Serikali kushindwa kufanya hivyo.

Diwani huyo alitoa jumla ya kilo 105 za sukari na kilo 220 za unaga wa mahindi, vitu vilivyopolelewa na Mkuuwa Shule hiyi Bw Kaaya na kuahidi kuendelea kufanya hivyo huku akiwataka wananchi wengine kusaidia uchangiaji.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO