Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: SIKU MGOMBEA WA CHADEMA KALENGA, BI GRACE TENDEGA ALIVYOFANYIWA TAMBIKO LA KIMILA

IMG-20140302-WA0015

Mzee wa Mila wa Kimasai katika Kijiji cha Mfyome, Lioper Ilmuduji, akimpatia baraka mgombea ubunge  wa CHADEMA katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Bi. Grace Tendega Mvanda, wakati chama hicho kilipofanya kampeni ya nyumba kwa nyuma kuomba kura kwa wananchi katika kijiji hicho

IMG-20140302-WA0080

IMG-20140302-WA0018Diwani wa Chadema Kata ya Elturoto Arumeru Magharibi, Arusha Mh Gibson akizungumza na wananchi wa Kalenga

IMG-20140302-WA0019Menaja kampeni wa Mgombea wa Chadema, Alphonce Mawazo akitoa neno

IMG-20140302-WA0020

IMG-20140302-WA0021

IMG-20140302-WA0025Mgombea wa Chadema, Bi Grace Tendega Mvanga akisalimiana na mzee wa jamii ya Kimasai Jimboni Kalenga

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO