Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MATUKIO TOFAUTI YA RAIS KIKWETE ZIARANI LUSHOTO NA BUMBULI

JK

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wanafunzi wa wageni waliohudhuria sherehe ya ufunguzi wa ukumbi wa mihadhara wa Benjamin William Mkapa uliofanyika katika chuo kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU huko Lushoto Mkoani Tanga jana.

D92A8235

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Mkuu wa Chuo cha Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU  Askofu Dr.Stephen Munga(kushoto)Makamu Mkuu wa Chuo cha SEKOMU Dr.Anneth Munga(watatu kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Chiku Galawa(kulia) wakikata utepe kuzindua rasmi ukumbi wa mihadhara wa Benjamin William Mkapa wilayani Lushoto jana.(Picha na Freddy Maro)

D92A8258

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika Chuo Kikuu chA Sebastian Kolowa Memorial University mabapo alifungua ukumbi wa mihadhara na kuhutubia wananchi.Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha SEKOMU Askofu Dr.Stephen Munga na kulia ni makamu wa chuo Dr.Anneth Munga.

D92A8349

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasililiza kwa makini wanafunzi kutoka Irente school for the Blind wakati walipoimba shairi maalumu wakati wa sherehe za ufunguzi wa ukumbi wa mihadhara wa Benjamin William Mkapa katika  chuo kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU jana.

D92A7638

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi walihiudhuria mkutano wa Hadhara huko Bumbuli Wilayani Lushoto jana.

D92A7833

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Wabunge wa Lushoto Mhe.Henry Shekifu kushoto na mbunge wa Bumbuli Mhe.January Makamba(kulia) muda mfupi baada ya Rais kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara Jimbo la Bumbuli Wilayani Lushoto jana.

D92A7872

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Usambara schools wakati aliposimama na kuwasalimia huko Lushoto jana ambapo alikagua miradi ya maendeleo na kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Nyerere square mjini Lushoto jana.

D92A8043

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi ufunguo kwa mmoja wa wakulima waliokopeshwa matrekta kwaajili ya kilimo wilyani Lushoto jana.

D92A8154

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasililiza kwa kamini wanafunzi kutoka Irente school for the Blind wakati walipoimba shairi maalumu wakati wa sherehe za ufunguzi wa ukumbi wa mihadhara wa Benjamin William Mkapa katika  chuo kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU jana

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO