Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AFANYA ZIARA MKOA WA ARUSHA

six14Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akiendelea na ujenzi katika uwanja wa michezo wa st.Benjamin uliopo Usa river kwa ufadhili wa edinburgh global partnerships na YES Tanzania katika ziara yake ya kwanza ya kikazi ya siku tatu katika Mkoa wa Arusha

six16Aliyevalia sweta ni mkuu wa Wilaya ya Arumeru Nyirembe Munasa akisalimiana na viongozi wa chama Wilayani hapo ambapo mradi huo umetekelezwa kulia ni Katibu mkuu UVCCM Sixtus Mapunda akifurahia jambo

six17Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akipokelewa na viongozi na wa chama hicho mapema kabla ya kutembelea miradi

six12Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akimkabidhi cheti mmoja wa wa vijana waliojitolea katika mradi wa ujenzi wa kiwanja cha michezo

six11Hapa viongozi na wadau wakishuhudia jiwe la msingi katika kiwanja hicho cha michezo kilichozinduliwa rasmi na Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda

six10Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akimkabidhi cheti mshindi wa mbio za pikipiki greengad maarufu kwa jina la Mjusi

six9Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akizindua shina la Ngarasero

six8Mwenyekiti UVCCM Mkoa wa Arusha Robson Meitinyiku akiongea katika mkutano wa hadhara katika kata ya Leguruki Mkoani Arusha ambapo aliwahimiza vijana wadumishe upendo,Amani katika Nchi yao huku akiwataka kuepuka uvinjifu wa Amani

six6six5Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akimkabidhi cheti mmoja wa wadau waliodhamini maradi wa uwanja wa michezo kutoka kamapuni ya YES

sixx18Zaidi ya Wanachama wapya 27 kutoka chama cha demokrasia na maendeleo chadema waliochukua rasmi kadi za CCM wakionyasha kadi zao mara baada ya kukihama chama hicho

six20Umati wa wananchi waliojitokeza kumsikiliza Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda

six21

six 19Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akimkabidhikadi mwanachama mpya kutoka chadema

six22six20

six4

six3Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akimkabidhicheti mkurugenzi wa YES Tanzania Samwel Mpenzu

six2

six1Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akiongea baada ya uzinduzi wa uwanja pamoja na mashina katika kata ya Ngarasero Mkoa Arusha katika ziara yake ya kwanza ya kikazi toka ateuliwe .

 

CREDIT: PAMELLA MOLLEL NA JAMII BLOG

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO