Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mkutano wa BAWACHA Arusha Ukiendelea New Arusha Hotel..

Mh Cecilia Paresso akitoa mada
 
Makamu Mwenyekiti BAWACHA Taifa, Mh Hawa Mwaifunga akifafanua jambo mkutanoni hapo
Picha ya baadhi ya Viongozi wa BAWACHA mikoa ya Kaskazini. Kutoka kushoto ni Mh Joyce Mukya (Mbunge Viti Maalumu Arusha Mjini), Mh Cecilia Paresso (Mbunge Viti Maalumu Manyara), Cecilia Ndosi, Mwenyekiti BAWACHA Mkoa wa Arusha, Mh Hawa Mwaifunga na mwisho ni Mwenyekiti wa BAWACHA Arusha Mjini
Baadhi ya Wajumbe na Viongozi wa BAWACHA
Mh Joyce Mukya akitoa nasaha
Kushoto ni viongozi wa BAWACHA Arusha Mjini
Katibu wa Chadema Jimbo la Arusha Mjini Mh Lewis Kopwe na Katibu Mwenezi Gabriel Kivuyo wakiwa kama wageni waalikwa
Picha zote na Grace Macha

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO