Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

BREAKING NEWS: HATIMAYE PROFESA MUHONGO ATANGAZA KUJIUZULU

Mhe. Prof Sospeter Muhongo amejuzulu wadhifa wake wa Waziri wa Nishati na Madini  muda katika mkutano wake na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam ambao unaendelea muda huu Wizarani.

Blog hii inaendelea kufuatilia kwa karibu zaidi na itakujuza yanayojiri hivi punde..

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO