Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA ZA SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR 2015

 

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akiwasili kwenye uwanja wa Aman tayari maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Januari 12, 2015.

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akipokea salamu za kijeshi mara baada ya kuwasili kwenye uwanjwa wa Aman tayari maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Januari 12, 2015.

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akikagua gwaride la vikosi mbali mbali vya kijeshi wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofanyika  leo Januari 12, 2015 kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar.

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akihutubia wananchi wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofanyika  leo Januari 12, 2015 kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein kwa hotuba yake nzuri aliyoitoa kwenye maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofanyika  leo Januari 12, 2015 kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar..

Picha: Michuzi Blog

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO