Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MABOSI WA ACT WATANDIKANA MASUMBWI HADHARANI

mwigamba

MWIGAMBA AKWIDWA

Taarifa kupitia mtandao wa kijamii wa Jamii Forum zinaeleza kuwa kuna tukio la kupigwa hadi kuchaniwa suruali kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Ukweli na Uawazi (ACT) chama ambacho kinashutumiwa kuwa maalumu kimkakati kuidhoofisha CHADEMA.

Taarifa hizo zinadai kwamba chanzo cha kukabana huko kunatokana nakudaiana fedha walizokopeshana. Inadaiwa kuwa kijana mwenye shati jeupe aliyetambulika kwa jina moja la Gerald ambaye pia ameelezwa kuwa Mratibu wa chama hicho Kanda ya Kaskazini alikuwa akimdai Bw Mwigamba mwenye jezi ya chama chake kipya pesa ambazo alishindwa kumlipa na hivyo kuanza kudaiana kwa nguvu na kukunjana.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO