Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

HABARI PICHA-KAIMU MKUU WA MKOA WA ARUSHA JOWIKA KASUNGA AKITETA JAMBO NA MWENYEKITI WA TATO WILLY CHAMBULO

DSC_8109

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha Jowika Kasunga akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waongoza Watalii nchini (TATO) Willy Chambulo katika Semina ya biashara kati ya India na Tanzania iliyofanyika jijini Arusha hivi karibuni. Semina imeandaliwana Kamisheni hiyo pamoja na Chama cha Wafanyabishara ,na wakulima na wenye Viwanda Arusha  ( TCCIA )

IMG_6535

Afisa Mtendaji wa Chama cha Wafanyabiashara ,Wakulima na wenye viwanda (TCCIA) Arusha ,Sia Charles akifafanua jambo katika Semina ya biashara kati ya India na Tanzania iliyofanyika jijini Arusha hivi karibuni. Semina imeandaliwana Kamisheni hiyo pamoja na Chama cha Wafanyabishara ,na wakulima na wenye Viwanda Arusha  ( TCCIA ) .Picha na Ferdinand Shayo

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO