Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mkutano wa Kata: Mgosi Mkoloni na Soggy Doggy wakifanya yao na Diwani Bananga Sombetini-Arusha Mjini Oktoba 7, 2015

Sombetini Okt 6, 15

Msanii na mwanaharakati wa siku nyingi kutoka kundi la Wagosi wa Kaya, Fredrick Gerson Mariki almaarufu kama Mgosi Mkoloni jioni ya leo amekonga nyoyo za wakazi wa Kata ya Sombetini Jijini Arusha kwa vichekesho na rap katuni alizokuwa akitoa katika mkutano wa kamapeni wa Mgombea Udiwani wa kata ya Sombetini, Ally Bananga kupitia CHADEMA.

Mgosi aliambatana na msanii mwingi Soggy Doggy Hunter na kupagawisha vilivyo umati uliojitokeza katika mkutano huo na kuwafanya waliohudhuria muda wote kuangua vicheko.

Akitumia baadhi ya mashairi ya nyimbo za Wagosi wa Kaya zilizowahi kutamba miaka ya nyuma kama Wauguzi, Trafiki, Walimu n.k huku akiongezea mashairi mapya ya papo kwa papo , aliwafanya wananchi hao kuimba nae pamoja kisha anasimama na kuanza kutoa elimu ya uraia na kuwaombea kura wagombea wa UKAWA.

IMG_20151007_173957

SAMSUNG CAMERA PICTURES
Mgombea Uiwani ambaye pia ni Diwani anayemaliza muda wake Ally Bananga kupitia CHADEMA akizungumza katika mkutano huo.

IMG_20151007_175138

IMG_20151007_175320

SOggy Doddy akichana mistari ya kuhamsisha kwa akapela

IMG_20151007_175826

IMG_20151007_175843

IMG_20151007_180127

IMG_20151007_181120

IMG_20151007_173058

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Baadhi wa wagombea Udiwani kupitia CHADEMA kwa Kata za Arusha Mjini wakitambulishwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Mzee Zakaria almaarufu kama Baba Bonny

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Mgombea Udiwani Kata ya Unga Ltd, James Lyatuu akihutubia wananchi na kuahidi mabadiliko Makubwa katika Kata yake.

Washirikishe Google Plus

About Ujenzi Connekt

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO