|  | 
| Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA. | 
|  | 
| Mwenyekiti wa Bodi ya MUWSA,akizungumza. | 
|  | 
| Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,Joyce Msiru akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo mara baada ya kutamburishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa Mamlaka hiyo. | 
|  | 
| Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA wakiwa katika kikao hicho. | 
|  | 
| Aliyekuwa kaimu mkurugenzi wa Mamlaka hiyo,Mhandisi Patrick Kibasa akizungumza wakati wa kikao hicho. | 
|  | 
| Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Alfred Shayo akizungumza katika kikao hicho. | 
|  | 
| Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa MUWSA kutoka wizarani,Abdalah Mkufunzi akizungumza katika kikao hicho. | 
|  | 
| Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya MUWSA,Hajira Mmambe akizungumza katika kikao hicho. | 
|  | 
| Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya MUWSA,Boniface Mariki akizungumza katika kikao hicho. | 
|  | 
| Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa MUWSA,Elizabeth Minde akizungumza katika kikao hicho. | 
|  | 
| Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakzi,TUICO tawi la MUWSA,Masudi Barie akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi wakati wa kikao cha utamburisho wa mkurugenzi mpya. | 














0 maoni:
Post a Comment