Mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ukiendelea katika uwanja wa Kwaraha,wilayani Babati mkoani Manyara jioni ya leo,ambapo umati mkubwa wa watu ulijitokeza kusikiliza sera zake.PICHA NA MICHUZI JR-BABATI,MANYARA.
    Mgombea  Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia na kujinadi kwa kijinadi kwa  Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano huo wa hadhara  uliofanyika katika uwanja wa  Kwaraha,mkoani Manyara.
    Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake wakimshangilia Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao na kuwaomba kura za kutosha ifikapo Oktoba 25 Mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu,ili awe Rais wa Tanzania wa awamu ya tano.Mkutano huo wa hadhara uliofana kwa kiasi kikubwa ulifanyika mjini humo katika uwanja wa Kwaraha,mkoni Manyara.
    Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa  Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa  Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia  mjini humo mkoa wa Manyara. 
     Baadhi ya wakazi wa mji wa Babati wakishangilia jambo wakati mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.
   Mgombea   Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha  Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akijinadi mbele ya Wakazi wa mji  wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano wa hadhara  uliofanyika katika uwanja wa  Kwaraha,mkoani Manyara. 
    Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea Ubunge,Mbunge wa Babati vijijini Ndugu Jitu Soni ambaye tayari alikwisha kabidhiwa kitabu cha Ilani ya CCM
   Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.
    Mgombea  Ubunge wa jimbo la Hanang,Mama Mary Nagu akimuombea kura mgombea Urais  wa CCM Dkt Magufuli kwa wakazi wa mji wa Babati mjini jioni ya leo  kwenye mkutano wa kampeni,uliofanyika katika uwanja wa kwaraha. 
    Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa  Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa  Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia  mjini humo mkoa wa Manyara.  
      Mgombea  Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa  Kondoa mapema leo mchana kwenye uwanja wa sabasaba,amapo mkutano wa  hadhara wa kampeni ulifanyika.Dkt Magufuli akitokea mkoani Singida  kuelekea mkoani Manyara kuendelea na kampeni zake za kusaka  Urais,aliwahutubia wakazi wa wilaya ya Chemba,wilaya ya Kondoa,na  vitongoji vingene kadhaa na hatimae kuibukia wilayani Babati na  kuhutubia mkutano mkubwa katika uwanja wa Kwaraha. 
  
0 maoni:
Post a Comment