Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA MBALI MBALI KATIKA MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA UKAWA JIJINI DAR LEO

 

Add caption

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji, wakiwasili kwenye viwanja vya Jangani jijini Dar es salaam, kwa ajili ya Mkutano wa Kufunga Kampeni zao, leo Oktoba 24, 2015.

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Jangani jijini Dar es salaam, kwa ajili ya Mkutano wa Kufunga Kampeni zao, leo Oktoba 24, 2015.


Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam na Taifa kwa ujumla kupitia vyombo mbali mbali vya habari, wakati wa Mkutano wa kufunga Kampeni, leo Oktoba 24, 2015.
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO