Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KITCHEN PARTY GALA KUFANYIKA DAR NOVEMBA 8 KWA KIINGILIO CHA 30,000 TU, SOMA HAPA

Kitchen Party Gala Artwork

Kitchen Party Gala Event 2015

Kila mwanamke ana mipango na mikakati ya ya kufikia malengo fulani katika maisha.

Yawezekana mipango hainedi, changamoto zinakufranya ukate tamaa. umekuwa mtu wa kuahirisha, wewe muongeaji tu utendaji sifuri.

Ndoa na mahusiano ndio kikwazo cha wewe kutimiza ndoto zako?

 

SIMAMIA NA TIMIZA NDOTO ZAKO

Tutakuwa na wazungumzaji na wahamasishaji, watu waliopitia changamoto za kimaisha lakini hawakukata tamaa wanaishi ndoto zao hivi sasa.

Njoo tuzungumze, tubadilishane mawazo na tufurahi pampja. Tutakuwa  na band kutuburudisha.

TAREHE: 8 Novemba 2015

UKUMBI: BNN HALL QUALITY CENTRE

KIINGILIO: TSH. 30,000 TU

VAZI: KHANGA

MUDA: SAA TANO ASUBUHI HADI  SAA MBILI USIKU

CHAKULA CHA MCHANA KITATOLEWA

 

 

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO