Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA MBALI MBALI ZA MIKUTANO YA KAMPENI ZA MH. LOWASSA KATIKA MAJIMBO YA HANDENI NA KILINDI, JIJINI TANGA

 

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiongozana na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye pamoja na baadhi ya viongozi wa Vyama vinavyounda UKAWA, wakiwasili katika Uwanja wa Kigoda, Mjini Handeni, Jijini Tanga kulikofanyika Mkutano wa Kampeni leo Oktoba 22, 2015.

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kigoda, Mjini Handeni, Jijini Tanga, leo Oktoba 22, 2015.

  Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimsikiliza kwa makini mmoja wa watoto waliomfata kumsalimia, mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, katika Uwanja wa Kigoda, Mjini Handeni, Jijini Tanga, leo Oktoba 22, 2015.

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kigoda, Mjini Handeni, Jijini Tanga, leo Oktoba 22, 2015.





















Washirikishe Google Plus

About Ujenzi Connekt

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO