Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

SAMSUN WAZINDUA DUKA LA KIELEKTRONIKI NA KITUO MAALUMU CHA HUDUMA JIJINI ARUSHA

Mike-and-Nawaz-Swahili

Meneja Mkuu wa kampuni ya bidhaa za kielekroniki ya Samsung Tanzania, Mike Seo (kulia) na Bw Nawaz Ladha (kushoto) Mkurugenzi wa Kamapuni ya Freedom Electronics moja ya kati ya wasambazaji wa bidhaa Tanzania akikata utepe kuzindua rasmi duka jipya na kituo cha huduma kwa wateja!

Mike-Swahili

Meneja Mkuu wa Samsung Bw Mike Seo akiwahutubia wateja wa bidhaa za Samsung katika uzinduzi rasmi wa duka la bidhaa za kielekrioniki la Samsung na kituo cha huduma kwa wateja Jijini Arusha.

Mubarak-Swahili

Meneja wa huduma Samsung, Bw Mubarak Mikidad akizungumza na wanahabari wakati wa uzinduzi rasmi wa duka la bidhaa za kielektroniki la Samsung kituo cha huduma kwa wateja Jijini Arusha.

 

PICHA NA MAELEZO:

Elizabeth Deusdedith: Client Service Executive: +255 658 717675

Tel/Fax: +255 22 2701503

Spearhead Africa Limited – P. O. Box 80287 – Dar Es Salaam – Tanzania www.spearheadafrica.com

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO