Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA NA WALIOKOSA NAFASI TCU KUJIUNGA VYUO VIKUU HAYA HAPA!

 

Tume ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU) imetoa orodha ya wanafunzi waliobahatika kuchaguliwa kujiunga na Vyuo Vikuu mbalimbali nchini na halikadhalika wale waliokosa nafasi.

KUONA CHUO ULICHOCHAGULIWA BOFYA HAPA


TAARIFA ZIDI BOFYA HAPA

*****************************************************************************
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM(UDSM) 2014/2015

The following applicants have been selected to join various undergraduate degree programmes for the 2014/2015 academic year.

The selected applicants should report at the Mwl. J.K. Nyerere Mlimani Campus on Saturday 11th October 2014 for the orientation week which will start on Monday 13th October 2014.

Applicants selected for admission into Dar es Salaam University College of Education (DUCE) and Mkwawa University College of Education (MUCE) should report directly to the college's campuses in Chang'ombe and Iringa respectively on the same dates.


Joining instructions and admission letters should be collected at the University campuses where one is admitted

BONYEZA HAPA UYAONE HAYO MAJINA.Admissions 2014 UDSM

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO