Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

CHADEMA KANDA YA KASKAZINI WALIA NA UCHELEWESHWAJI WA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA

Picture 013

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini akiongea na waandishi wa habari jana ndani ya ofisi za chama hicho kanda zilizopo Ngarenaro  Jijini Arusha

Picture 009

Waandishi wa habari wakiwa wanasubiri mkutano wa chadema uanze

Picture 027

Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha na Diwani wa Kata ya Daraja Mbili kupitia Chadema Prosper Msofe akiwa anafafanua jambo mbele ya waandishi wa habari

PICHA: WOINDE SHIZZA

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO