Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mwenyekiti BAWACHA Arusha Atembelea Shule ya Engutoto Iliyoteketea kwa Moto na Kukabidhi Msaada kwa Uongozi wa Shule hiyo Monduli leo

IMG-20150219-WA0056

IMG-20150219-WA0048

IMG-20150219-WA0049

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Mkoa wa Arusha Mh Cecilia Ndossi leo hii ametembelea Shule ya Sekondari Engutoto iliyopo Wilayani Monduli na kujionea hali halisi na uharibifu uliotokea baada ya mabweni ya shule hiyo kuteketea kwa moto mwishoni mwa mwezi uliopita. Baada ya kupokelewa na Mkuu wa Shue hiyo na kutembezwa kujionea hali halisi, Mh Ndossi alihitimisha safari yake kwa kukabidhi msaada wa vifaa mbai mbali vya wanafuzi na walimu kutumia kwa usomaji na ufudishiaji.

Baadhi ya viongozi abao wamekwishatembelea shule hiyo na kutoa msaada ni pamoja na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw Daud Felix Ntibenda

IMG-20150219-WA0051

IMG-20150219-WA0053

IMG-20150219-WA0054

IMG-20150219-WA0055

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO