Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MDAHALO WA TWAWEZA KWA VYAMA VYA SIASA, MASHIRIKA BINAFSI JUU YA UCHAGUZI JIJINI ARUSHA


unnamed

Ofisa Mkuu kutoka taasisi ya Uandishi wa Habari na Utangazaji EABMT Rosemary Mwakitwange akifafanua jambo katika Mdahalo juu ya uchaguzi mkuu ujao kuhakikisha haki na amani inatawala,mdahalo huo ulishirikisha wanasiasa kutoka vyama vya siasa CHADEMA,CCM,CUF,NCCR na vingine pamoja na taasisi binafsi na viongozi wa kiserikali,mdahalo huo umeandaliwa na shirika la TWAWEZA umefanyika jUZI jijini Arusha.

 

IMG_0308

Washiriki wa Mdahalo juu ya uchaguzi mkuu ujao kuhakikisha haki na amani inatawala wakifuatilia kwa makini mdahalo huo ulishirikisha wanasiasa kutoka vyama vya siasa CHADEMA,CCM,CUF,NCCR na vingine pamoja na taasisi binafsi na viongozi wa kiserikali,mdahalo huo umeandaliwa na shirika la TWAWEZA umefanyika jana jijini Arusha.

Picha na Ferdinand Shayo

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO