katika Mdahalo juu ya uchaguzi mkuu ujao kuhakikisha haki na amani inatawala, mdahalo huo ulishirikisha wanasiasa kutoka vyama vya siasa CHADEMA,CCM,CUF,NCCR na vingine pamoja na taasisi binafsi na viongozi wa kiserikali,mdahalo huo umeandaliwa na shirika la TWAWEZA umefanyika juzi jijini Arusha.
Picha na Ferdinand Shayo
0 maoni:
Post a Comment