Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2014 NA QT 2014 KUPITIA HAPA!

NECTA

Wizara inayoshughulika na masuala ya elimu nchini imetoa ramsi matokeo ya wanafunzi waliofanya mitihani ya QT na Kidato cha Nne mwaka jana 2014. Fuata link hizi hapa chini kwa matokeo yenyewe.

Matokeo ya Form IV 2014 (School na Private Candidate)

Matokeo ya QT 2014 

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO