Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Lema Alivyolakiwa Nyumbani Baada ya Kuachiwa Huru na Mahakama Kwa Dhamana

Baba Mzazi wa Mbunge wa Arusha Mjini na wanafamilia wengine wakimlaki ndugu yao alipofika nyumbani kwake Njiro, Jijini Arusha.

Mh Godbless Lema akikumbatia na na mwanae wa kwanza Holybless mara baada ya kuwasili nyumbani akitokea mahabusu ya Kisongo alikokaa kwa takribani miezi 4. 

Baadhi ya viongozi wa CHADEMA Taifa wakiwa na mazungumzo na Mh Lema nyumbani kwake na kumpa pole

Kutoka kushoto; Katibu Mkuu CHADEMA Vincet Mashinji, Mbunge wa Arusha Mjini Mh godbless Lema,  Sheikh, Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro, Katibu wa Mbunge Arusha Mjini Innocent Kisanyage, Mbunge Viti Maalum Joyce Mukya, Mjumbe wa BAVICHA Kisambala na Baba Mzazi wa Lema Mzee Jonathan Lema. 


Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO