Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TANZIA: MBUNGE VITI MAALUMU CHADEMA AFARIKI DUNIA, NI DR ELKY MACHA ALIYEWAKILISHA WALEMAVU

Spika wa Bunge LA Tanzania Mh Job Ndugai ametangaza kifo cha Mbunge wa Bunge hilo Dr Elly Macha kilichotokea nchini Uingereza alikokuwa kwenye matibabu.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO