Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Ajali Mteremko Nduruma: Basi laparamia Daladala, abiria mmoja afariki

Basi maarufu kwa jina la Neema za Mungu linalofanya safari za kubeba abiria kati ya Arusha Mjini na Ngarenanyuki lilishindwa breki na kulazimika kuigonga Daladala (Hiace) iliyokuwa mbele yake  jirani kabisa na Daraja la Mto Nduruma na kuanguka.

Mtu mmoja aliyekuwa kwenye Daladala amethibitishwa kufariki na wengine bado ni majeruhi.

Ajali hii ilitokea jana  alasiri

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO