Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Wema Sepetu amtembelea Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema
Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu amemtembela na kufanya mazungumzo na Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema baada ya kupata dhamana siku ya Ijumaa na kutoka gerezani alikokaa mahabusu kwa tarkibani miezi minne.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO