Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WAFANYABIASHARA WA VILEO KATIKA MANISPAA YA UBUNGO WATAKIWA KUWASILISHA MAOMBI YA LESENI KABLA YA MACHI 15, 2017Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo anawatangazia wafanyabiashara wote wa vileo kuwa msimu wa kukata leseni za biashara za vileo kwa mujibu wa sheria ya vileo Na 28 ya Mwaka 1964 na marekebisho yake unaanza tarehe 1/04/2017.

Hivyo kila mfanyabiashara anapaswa kuwasilisha maombi ya leseni za vileo katika ofisi ya Biashara Manispaa ya Ubungo zilizopo eneo la Kibamba CCM Kabla ya tarehe 15/03/2017. (Maombi yaambatanishwe na Tax Clearence Certificate na Leseni iliyoisha)
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO