Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Nape, Guninita wamjulia hali Mbunge wa Rombo

Nape - Selasini Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akimjulia hali, Mbunge wa Rombo kwa tiketi ya Chadema, Joseph Selasini, alipomtembelea wodini, katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. Selasini anapatiwa matibabu katika hospitali hiyo baada ya kuhamishwa kutoka hospitali ya KCMC ambako alikuwa akitibiwa baada ya kupata ajali ya gazri hivi karibuni.

Picha&Maelezo: NKOROMO DAILY BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO