Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA ZA WATANZANIA WALIOFARIKI KUFUATIA AJALI YA MARK X WAKITOKA NAIROBI KWENYE RALLY

faj1 Faraja Haule, ambae sasa ni marehemu…enzi za uhai wake

r-i-p Hapa ni marehemu Faraja (kushoto) na Denis enzi za uhai wao

victor Mtanzania Victor akiwa hospitalini akipatiwa matibabu. Hapa anaonekana akiugulia kwa maumivu makali. Rafiki zake Faraja Haule na Denis Ngaleison walifariki kwenye ajali hiyo. Victor Jungle na Makoye Simon walinusurika kifo na wanaendelea na matibabu. Vijana hawa walipata ajali eneo la Kajado wakiwa wanatokea Nairobi kwenye mashindano ya magari.

faj3 Gari aina ya Mark X waliyokuwa nayo kwenye mashindano kabla ya ajali

faj7 Gari hiyo inavyoonekana baada ya ajali

(Picha zote na maelezo; kwa hisani ya http://differentsourcestz.wordpress.com)

KUMRADHI! BLOG HII INAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIOTOKEA KWA TAARIFA YAKE YA AWALI KUHUSU AJALI HII IKIELEZA KUWA MTOTO WA SUNDA NAE AMEFARIKI KATIKA AJALI HIYO. USAHIHI NI KWAMBA HAKUWA MTOTO WA SUNDA NA HAJAFARIKI KAMA ILIVYOELEZWA AWALI. AKSANTENI

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO