Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Rais Kikwete ashiriki shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa Bob Makani, Karimjee Dar es Salaam leo

DSC_9854 Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kuongoza shughuli ya kuuaga mwili wa muasisi wa Chadema na Naibu Gavana wa benki kuu wa zamani, Bob Makani, leo. Wanaomkaribisha ni viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe, Katibu Mkuu Dk. Wilbrod Slaa na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zitto Kabwe

DSC_9860  Rais Kikwete akiwa na viongozi wa Chadema, Mbowe, Dk. Slaa na Zitto Kabwe

kumuaga Makani Jeneza lenye mwili wa Marehemu Bob Nyange Makani likiwasili viwanja vya Karimjee Dar es Salaam leo

kumuaga Makani1

Aliekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha kbala ya kuhamia CHADEMA, Ndg James Ole Millya (mwenye kombati) akishiriki kubeba jeneza la marehemu kuelekea mahali palipoandaliwa.

kumuaga Makani7Rais wa Jamhuri ya Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mbowe na Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal wakati wa kupokea mwili wa marehemu Bob Makani kuingizwa kwenye viwanja vya Karimjee, kwa ajili ya kuagwa

kumuaga Makani8 Katibu wa NEC (CCM), Itikadi na Uenezi, Ndg Nape Nnauye akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr Wilbroad Slaa walipokutana msibani Karimjee leo

kumuaga Makani10Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa CHADEMA

kumuaga Makani5 viongozi wa vyama vya siasa walikuwepo

kumuaga Makani3Mwenyekiti na Katibu Mkuu wake (CHADEMA) wakiteta jambo

kumuaga Makani6Mama yake Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA) alijitokeza nae kumuaga mpendwa wao

kumuaga Makani11Nape akisalimiana na mama yake Zitto Zubeir Kabwe

kumuaga Makani12Baadhi ya waheshimiwa waliojitokeza viwanja vya Karimjee kuaaga mwili wa marehemu Bob Makani 

Picha: CHADEMA BLOG na NKOROMO DAILY

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO