Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Godbless Lema akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Mchikichini Manispaa ya Ilala Dar es Salaam juzi

Lema Mjumbe wa Kamati Kuu  ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw Godbless Lema, akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Mchikichini Manispaa ya Ilala Dar es Salaam juzi, wakati wa Kampeni ya Ondoa CCM Dar es Salaam, ambapo pia chama hicho kilitoa tamko la kufanya maandamano ya kuunga mkono mgomo wa madaktari nchi nzima. (Picha na Sittu Athumani)

Source: Majira

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO