Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

BLOG YAKO INAOMBA RADHI KWA KUSHINDWA KUTUMA UPDATES KWA TAKRIBAN WIKI 2

Tunaomba radhi sana kwa usumbufu utakaokuwa umajitokeza kwa kipindi chote ambacho Blog yako hii haikuweza kuweka habari mpya. Yalikuwa ni maswala yaliyokuwa nje ya uwezo wetu.

Kwasasa hali imetengamaa na tutaendelea kuwa pamoja!
Aksante sana..

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO