Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

CHADEMA wafungua ofisi ya Kata Makanya – Same, yaendelea ‘kuvuna’ wanaCCM

DSC01358Baadhi ya wananchi wa Makanya Wilayani Same wakisubiria kushuhudia uzinduzi wa ofisi ya CHADEMA katika Kata hiyo jana

DSC01378  Meya wa Manispaa ya Moshi Mh Jaffari (alieipa mgongo kamera) akipandisha bendera kuashiria uzinduzi wa ofisi ya chama chake Kata ya Makanya jana. Kusoto kwake aneshuhudia ni kamanda wa chama hicho na kiongozi wa vijana Wilaya ya Babati, Ndg Jackson Makalla.

DSC01383 Mstahiki Meya Jaffari akizungumza na wananchi mara baada ya ufunguzi wa ofisi hio jana

DSCN3396Kiongozi wa CHADEMA Kata ya Makanya akisoma majina na namba za kadi za CCM zilizorudishwa katika mkutano huo. Watu wengi walirudisha kadi zao na kupatiwa za CHADEMA katika mkutano wa hadhara uliofuata baada ya uzinduzi wa ofisi hiyo

DSC01424Kamanda wa CHADEMA tokea Arusha, Ndg Chrisptopher Mbajo (mzaliwa wa Same) akizungumza na wananchi kuhusiana na umuhimu wao wa kushiriki katika mchakato wa kuandika Katiba mpya.

DSC01398Aliekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Mkoa wa Arusha, Exaud Mamuya akizungumza na wananchi wa Makanya jana. Aliambatana na vijana wengine 5 toka Arusha pamoja na madiwani wawili wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO