Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Namna ya kuboresha Simu yako ya Tecno C8 kuwa ya kijanja zaidi. Soma hapa

Tecno C8

TECNO Mobile wanakuletea mfumo mpya wa Android 6.0 Marshmallow kupitia simu yako ya Tecno Camon C8. Mfumo huu ni mfumo janja na una ifanya simu yako janja ya tecno c8 kuwa na muonekano bora zaidi na kuwa na uwezo maridadi kabisa na kurahisisha matumizi yako ya simu kwa asilimia 100 tofauti na mfumo wa awali unao kuja na simu.

Pekua hapa kwa Maelekezo zaidi
Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO