Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira Arumeru: Wenyeviti wa Mtaa wa Ilikiurei na Namayana Kata ya Kiranyi (CHADEMA) wakishiriki Ukarabati wa Maeneo Korofi ya Barabara na Wananchi wake


Mwenyekiti wa Mtaa wa Ilikiurei Kata ya Kiranyi Jimbo la Arumeru Magharibi Mh Onesphoy Chami (mwenye beleshi) pamoja Mwenyekiti wa Mtaa jirani wa Namayana  Mh Elias Naigisa wote kupitia CHADEMA wakishiriki kwa pamoja na wananchi wa mitaa hiyo kuweka kifusi katika maeneo korofi ya barabara ya "Kwa Trafiki" kuelekea shule ya Ilikiurei yenye urefu wa tarkivani kilometa 2.5.

Ukarabati huu ni jitihada binafsi za viongozi hao katika kukabilina ana kero mbalimbali katika mitaa wanayoiongoza huku wakiwa na nguvu kazi kubwa nyuma yao. 

Wananhi wa Ilikurei na Namayana wakishiriki ukarabati wa barabara yao

Wenyeviti wa Miataa ya Ilikurei na Namayana Kata ya Kirani ArumeruMagharibi wakishiriki kuhimiza wananchi kujitolea kukarababti njia za mitaa


Gari ikimwaga kifusi

Mwenyekiti wa Mtaa wa Ilikurei akishiriki kupanga mawe barabarabi kabla ya kumwaga kifusi ili kuziwezesha njia za mtaa kupitika kipindi hiki cha mvua.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO