Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Serikali: Kiwanda cha General Tyre Kufufuliwa Hivi Karibuni

Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre mkoani Arusha kinatarajiwa kufufuliwa hivi karibuni.
Hayo yameelezwa  jana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda wakati akihutubia katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi  duniani yaliyofanyika kwenye  Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha na kusisitiza kuwa kuwa lengo la Serikali ni kukuza uchumi kwa vijana.

Alisema hadi sasa Serikali inamiliki hisa kwa asilimia 100 katika kiwanda hicho na muda wowote kitaanza uzalishaji.
Chanzo: Mosses Mashalla, Mwananchi

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO