Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TANAPA YAKABIDHI MCHANGO WA MADAWATI 16,500 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI MOJA KWA WILAYA 55 ZINAZOPAKANA NA HIFADHI ZA TAIFA


Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh,Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba yake wakati wa hafla fupi ya kukabidhi Hundi za fedha kiasi cha Sh Bilioni moja zilizo tolewa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa wakuu wa mikoa 19 kwa ajili ya Madawati katika wilaya 55 zinazopakana na Hifadhi za Taifa.
Baadhi ya wakuu wa mikoa 19 waliohudhuria hafla ya utoaji wa Hundi kwa ajili ya Madawati katika wilaya 55 zinazopakana na Hifadhi za Taifa nchini,Hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto mje kidogo ya jiji la Arusha.
Baaadhi ya wakuu wa wilaya waliowakilisha wakuu wa mikoa yao katika hafa fupi ya utoaji wa Hundi kwa ajili ya Madawati katika wilaya 55 zinazopakana na Hifadhi za Taifa.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe akisoma hotuba yake wakati wa hafla fupi ya kukabidhi hundi hizo.
Baaadhi ya wakuu wa mikoa waliohudhuria hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza nia ya Shirika hilo katika kuunga jitihada za Raisi John Magufuli katika sekta ya Elimu kwa kuhakikisha elimu inatolewa bure na bora.
Baadhi ya Wakurugenzi na watendaji wengine wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakiwa katika hafla hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Saidi Mecky Sadicky akitoa neno la shkurani kwa niaba ya wakuu wengine wa mikoa kwa msaada huo wa pesa kwa ajili ya Madawati ,kiasi cha Sh Bilioni moja kilichotolewa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)
Baadhi ya wakuu wa mikoa.
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za taifa nchini (TANAPA) Pascal Shelutete akitoa utaratibu wa namna wakuu wa mikoa atakavyopokea Hundi kutoka kwa Makamu wa Raisi ,Samia Suluhu Hassan.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongera ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa.Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Tanga ,Martin Shigela ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Katavi ,Meja Jenerali Mstaafu ,Raphael Muhuga ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa wilaya ya Mvomero ,Betty Mkwasa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa wilaya ya Tarime,Glorious Luoga kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Mara ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Samia Hassan Suluhu akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa mkoa wa Rukwa ,Kamishna wa Polisi Mstaafu,Zelothe Stephen ikiwa ni mchango wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya ununuzi wa Madawati katika shule zilizopo katika wilaya zinazipakana na Hifadhi za Taifa. Wengine kulia mwa Makamu wa Rais ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Profesa Jumanne Maghembe na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini Allan Kijazi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Daudi Ntibenda akiteta jambo na Waziri wa nchi,Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora ,Angela Kairuki wakati wa hafla hiyo.
Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Samia Hassan Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Mikoa 19 inayopakana na Hifadhi za Taifa ambazo wilaya zake zimepata msaada wa Madawati wenye thamani ya kiasi cha sh Bilioni moja iliyotolewa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ,
Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Samia Hassan Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi na Mameneja wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA) mara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kukabidhi hundi kwa wakuu wa mikoa 19 inayopakana na Hifadhi za Taifa ambazo wilaya zake zimepata msaada huo wenye thamani ya kiasi cha Sh, Bilioni moja.
Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Samia Hassan Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wengine wa kada mbalimbali wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA) mara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kukabidhi hundi kwa wakuu wa mikoa 19 inayopakana na Hifadhi za Taifa ambazo wilaya zake zimepata msaada huo wenye thamani ya kiasi cha Sh, Bilioni moja.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Washirikishe Google Plus

About Ujenzi Connekt

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO