Mfano halisi wa jinsi itakavyokuwa barabara ya mabasi yaendayo kasi inayoendelea kujengwa kwenye barabara ya Morogoro, katikati ni sehemu y...
                                Soma Zaidi 
                                
                                    Home
                                  
                                  Archive for 
                                  June 2012
Madaktari waunda jopo kumuokoa Dr Ulimboka
 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania, Dk. Stephen Ulimboka, akiwa kwenye Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifu...
                                Soma Zaidi 
                                
 
John Mnyika - Taifa na Madaktari: Tumefikia hapa tulipo kwa sababu ya Rais Kikwete na Bunge
Sababu ya hali tete ya nchi na maisha ya wananchi kwenye sekta ya afya ni udhaifu wa serikali na uzembe wa bunge.  Rais Jakaya Kikwete ajito...
                                Soma Zaidi 
                                
Godbless Lema akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Mchikichini Manispaa ya Ilala Dar es Salaam juzi
 Mjumbe wa Kamati Kuu  ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw Godbless Lema, akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Mchikichi...
                                Soma Zaidi 
                                
 
Wajasiriamali mikoa ya Kaskazini wapatiwa soko
TATIZO la kufikia vituo vya masoko na kuuza bidhaa kwa wajasiriamali wadogo na wakati, hasa wale wanaosindika vyakula, limepatiwa ufumbuzi k...
                                Soma Zaidi 
                                
 
TAMKO LA JUMUIYA YA MADAKTARI KUHUSIANA NA TUME ILIYOUNDWA NA JESHI LA POLISI KUCHUNGUZA TUKIO LA DR. ULIMBOKA
KAMATI YA JUMUIYA YA MADAKTARI TANZANIA YAH: TAMKO FUPI LA JUMUIYA YA MADAKTARI KWA WAANDISHI WA HABARI LEO TAREHE 28.06.2012  Madaktari wot...
                                Soma Zaidi 
                                
Pinda: Tukio la Dr Ulimboka lina utata
Waziri Mkuu, Mh Mizengo Peter Pinda   Mwananchi, Thursday, 28 June 2012 20:25  By Fredy Azzah, WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda , amesema tukio la ...
                                Soma Zaidi 
                                
KIONGOZI WA MADAKTARI WANAOGOMA ATEKWA NA KUUMIZWA VIBAYA
*Dk. Ulimboka atekwa nyara, avunjwa taya na mikono *Ang'olewa meno na kucha kwa koleo, apasuka kichwa *Amtambua mmoja wa watekaji, asema...
                                Soma Zaidi 
                                
 
BLOG YAKO INAOMBA RADHI KWA KUSHINDWA KUTUMA UPDATES KWA TAKRIBAN WIKI 2
Tunaomba radhi sana kwa usumbufu utakaokuwa umajitokeza kwa kipindi chote ambacho Blog yako hii haikuweza kuweka habari mpya. Yalikuwa ni ma...
                                Soma Zaidi 
                                
Bajeti ya 2012/13 ni bajeti ya kilio
  •  KODI ZA VINYWAJI BARIDI, BIA, SIGARA, SIMU JUU   Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa  akionyesha mkoba wenye Bajeti ya Serikali ya  201...
                                Soma Zaidi 
                                
HOTUBA YA BAJETI YA MWAKA 2012 - 13 ILIYOSOMWA MJINI DODOMA LEO
 I   UTANGULIZI:   1.         Mheshimiwa Spika,  naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu liweze kujadili na kupitisha makadirio ya mapato...
                                Soma Zaidi 
                                
Subscribe to:
Comments
                            (
                            Atom
                            )