Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

CHADEMA KUFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA KANDA YA KATI LEO

Chama Cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi wa kupata viongozi wa Kanda ya Kati inayoundwa na mikoa ya Morogoro, Singida, na Dodoma, kwa mfumo wa kikanda wa chama hicho.
Kwamujibu wa taarifa ambazo blogu hii imezipata, zinaeleza kuwa nafasi zinazogombewa ni pamoja na Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Mweka Hazina.

Waliojitokeza kugombea nafasi hizo ni pamoja na wafuatao


NAFASI YA MWENYEKITI
1. Djumbe David Joseph
2. Jella Kherry Mambo
3. Alphonce B. Mbassa
4. Shaban Hamis Lyimu
5. Bathlomeo Tarimo

NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI
1. Marcossy Albanie
2. Aisha Y. Lujja
3. Juma Tembo
4. Christina Ntembo
5. Peter Lijualikali

NAFASI YA MWEKAHAZINA
1. Alex N. Thomas
2. Celestina E. Simba
3. Immaculate Sware Semesi
Wagombea waliopitishwa kugombea 

Mwenyekiti 
Alphonce B. Mbassa
Bathlomeo Tarimo

Makamu Mwenyekiti
Christina Ntembo
Aisha Y. Lujja

Mhasibu
Christina Ntembo
Immaculate Sware Semesi

Viongozi wakuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo wakiingia ukumbini leo kwa ajili ya kuanza mkutano mkuu maalum wa kuchagua viongozi wa chama kwa kanda ya kati ambayo inajumuisha mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida

Baadhi ya wajumbe na viongozi akiwemo Mh Lowassa wakiwa tayari ukumbuni 

Baadhi ya wajumbe wakiwa ukumbuni mapema asubuhi





Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO