Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: RAS ARUSHA AKIPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZEJI WA MRADI WA PAMOJA TUWALEE ULIOFIKIA TAMATIKatibu Tawala wa Mkoa,Richard Kwitega akitoa shukrani baada yakukabidhiwa mradi wa Pamoja Tuwalee,ofisini kwake Jijini Arusha.

Wajumbe wa kamati ya Pamoja Tuwalee kwa ngazi ya Mkoa, waliofika kukabidhi mradi wao kwenye ofisi ya RAS Arusha.
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO