Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Meya wa Jiji la Arusha Azindua Kampuni Mpya ya Matangazo "Kismaty Advert Media" ya Jijini Arusha

Mh meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro azindua KISMATY ADVERT MEDIA.

Katika salamu zake, Mh Kalist Lazaro amepongeza sana Mkurugenzi wa Kismaty Marry Mollel, kwa ubunifu aliouanzisha na kuwa kampuni ya kwanza ya udalali wa habari na kuwa mwanamke wa kwanza kuanzisha  kampuni itakayo tusaidia jamii.

Aidha, Mh Kalist Lazaro amewakumbusha kuwa makini na habari watakazo toa, ziwe za kweli, nzuri na kwa bora wakitambua sheria mpya ya Habari.

Mh Kalist Lazaro amemuunga mkono Ni Mollel na kuunga mkono kazi zinazofanywa na Kismaty Advert Media kwa kuahidi kufanya kazi zake sasa kupitia kampuni yake, na kwa kuanzia ameahidi kuandaa kadi za kuwatakia Christmas na Mwaka Mpya mwema wananchi wa jiji la Arusha.


Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO