Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: RC ARUSHA APOKEA MSAADA WA MIFUKO 200 YA SIMENTIKUTOKA KWA CHAMA CHA WAMILIKI WA 'NOAH' JIJINI ARUSHA


Mkuu wa Mkoa, Mrisho Gambo akipokea mifuko 200 ya simenti kutoka kwa chama cha wa wamiliki wa magari aina ya Noah cha Jijini Arusha.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akimkabidhi mifuko 50 ya simenti Mkuu wa Wilaya ya Karatu Theresia Mahongo kwaajili ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Oldeani Wilayani Karatu.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo akimkabidhi mifuko 50 ya simenti Mkuu wa Wilaya ya Longido Daniel Chongolo kwaajili ya ujenzi wa kitua cha afya Namanga, Wilayani Longido


Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO