Abiria wakishuka kutoka kwenye ndege ya shirika la Precision Air ambayo imeanza safari za moja kwa moja kutoka jijini Dar es Salaam na Zanzibar hadi kwenye hifadhi hiyo. |
Watalii wakifurahi baada ya kutua salama kwenye uwanja wa Seronera ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. |
Watalii wakipata picha ya pamoja ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti |
Meneja Uhusiano wa Tanapa,Pascal Shelutete akifafanua umuhimu wa ndege kubwa za abiria kwenda moja kwa moja kwenye hifadhi za taifa kutakavyoinua sekta ya utalii nchini. |
Ndege ya shirika la Precision Air ikiruka kutoka uwanja mdogo wa Seronera ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoa wa Mara. |
Makundi makubwa ya wanyama aina ya Nyumbu ni miongoni mwa vivutio ndani hifadhi ya Serengeti |
Tembo wenye miili mikubwa wakiwa ndani ya Hifadhi ya Serengeti |
Fisi wakijipooza joto kwenye dimbwi la maji. |
Wafanyakazi wa Sence of Afrika wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa tayari kuwapokea wageni wanaotembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com
|
0 maoni:
Post a Comment