Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Lowassa akilakiwa Kongwa kuanza ziara ya kuzugumza na Mabaraza ya CHADEMA ngazi za chini.

Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa Baraza kuu la CHADEMA Mh. Edward Lowassa akiwasili Wilayani Chemba kwa ajili ya kuanza ziara ya kuonana na viongozi wa mabaraza ya chama katika ngazi za chini.


Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO