Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mbunge wa Simanjiro Mhe. James Ole Millya Pamoja na Naibu waziri wa Maji Mhe. Izack Kamwele Wakizindua Mradi wa maji safi na salama katika kijiji cha Gunge, Simanjiro.

Mbunge wa Simanjiro Mhe. James Ole Millya  Pamoja na Naibu waziri wa Maji Mhe. Izack Kamwele wakizindua Mradi wa maji safi na salama katika kijiji cha Gunge kata ya Ruvuremit wilayani Simanjiro.

Vilevile Mbunge huyo wa Simanjiro pamoja na naibu Waziri wametembelea na kukagagua chanzo cha Maji kutoka mto Pangani na Mradi wa kupeleka Maji makao makuu ya wilaya ya Simanjiro ambao umbali wake ni kilomita 48 kutokea kwenye chanzo cha Maji.Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO