Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

FURSA YA WEWE NA KAMPUNI YAKO KUSHIRIKI BONANZA KUBWA ARUSHA MWEZI AGOSTI

bonanza

Ni bonanza kubwa linalotarajiwa kufanyika ndani ya jiji letu la Arusha mara moja tu kwa mwezi!

Wakazi wa Arusha mkae TAYARI.

Linaanza mwezi ujao tar. 04/08/2013 katika viwanja vya general tire. kama kuna Kampuni inataka kuungana na wadhamini ambao tayari wapo WASILIANA na wahusika kwa anuani hiyo hapo juu.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO