Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Spika wa Bunge la Oman, Sheikh Khalid Bin Bilal Bin Nasir Al Maawali alipotembelea hifadhi ya Serengeti

Spika wa Bunge la Oman, (Majlis A'shura) Sheikh Khalid Bin Bilal Bin Nasir Al Maawali akiwa katika hoteli ya kitalii ya Serengeti Four Seasons kabla ya kuelekea mbugani

Spika  wa Bunge la Oman pamoja na wabunge 6 na wafanyakazi wengine wa Bunge la Oman, (Majlis A'shura) Sheikh Khalid Bin Bilal Bin Nasir Al Maawali leo ametembelea mbuga ya wanyama  ya Serengeti na kushuhudia sehemu ya 'Great Migration' katika mbuga hiyo. . Spika huyo ameishauri Tanzania kuitangaza zaidi utalii kwa kupitia vyombo vyote vya habari pamoja na mitandao ya kijamii ili kuvutia watalii wenye uwezo wa kifedha zaidi. Amehaidi ushirikiano wa kuitangaza Tanzania katika Inchi ya Oman na kuifanya iwe kivutio kwa wawekezaji wa kiarabu zaidi.

Safari ya mbugani ikianza

Msafara wa  Spika wa Bunge la Oman, (Majlis A'shura) Sheikh Khalid Bin Bilal Bin Nasir Al Maawali

Pundamilia

Nyumbu kibao kila sehemu

Nyumbu

Safari ikiendelea

Nyumbu kila mahali

Msafara ukiendelea Serengeti


Mapumziko

 Spika wa Bunge la Oman, (Majlis A'shura) Sheikh Khalid Bin Bilal Bin Nasir Al Maawali akiongea machache

 Spika wa Bunge la Oman, (Majlis A'shura) Sheikh Khalid Bin Bilal Bin Nasir Al Maawali na msafara wake pamoja na wenyeji wake

Askari wa TANAPA akiwa lindoni

Mapumziko

Pundamilia

Msafara watua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Karume, Zanzibar

PICHA ZOTE NA ISSA MICHUZI MATUKIO

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO