Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MPAMBANO WA NGUMI KATI YA MH HALIMA MDEE vs JACK WOLPER, ESTER BULAYA vs AUNT EZEKIEL SIKU YA TAMASHA LA MATUMAINI JANA

Jana katika Tamasha la Matumaini msanii wa maigizo Jackline Wolper na Mbunge wa Kawe, mh Halima Mdee walizipiga ....hapakupatikana mshindi baada ya kutoka droo.

Pambano kati ya Mbunge Halima Mdee na Muigizaji Jackline Wolper iliishia droo kwa kufungamana kwa makonde 10-10.

Wolper na Halima Mdee


MAPAMBANO YA NGUMI KATI YA AUNTY EZEKIEL VS ESTHER BULAYA

Mbunge Ester Bulaya akikwepa ngumi iliyorushwa na Aunt Ezekiel (kushoto). Pambano lao liliisha kwa sare pia.

picha na shaffihdauda.com

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO